TANGAZO
LA MKOPO
PATA
MKOPO WA TSH 100,000 KWA RIBA YA TSH 2500. MKOPO WA MWEZI MMOJA UKIKOPA 100,000
UNARUDISHA TSH 102,500. KILA JUMATANO SAA TATU ASUBUHI HADI SAA TANO NA NUSU
ASUBUHI. MAFUNZO YA UJASIRIAMALI YANATOLEWA NA MAELEKEZO YANATOLEWA. VIKUNDI
VYOTE VINAKOPESHWA NA AMBAYO HAVIJA SAJILIWA VITASAJILIWA HAPO HAPO VIKIWA
VIMEJIANDAA KUPATA USAJILI. WANAVICOBA WOTE MNAKARIBISHWA MUWEZE KUSAJILI
VIKUNDI VYENU NA KUPATA MIKOPO. KILA KIKUNDI KINACHOVUNJWA MWISHO WA MWAKA SASA
HAKITAVUNJWA TENA MAANA BADALA YA KUVUNJA MGAWANE PESA MNAPATIWA MARATATU YA
PESA AMBAYO MNGEGAWANA YAANI KAMA UNGEPATIWA 100,000 BASI UTAPATA 300,000 KAMA
MKOPO. UKIPATA UJUMBE HUU MSHIRIKISHE NA MWINGINE.
WAPI:
TABATA BIMA.
JINSI
YA KUFIKA : PANDA
DALADALA ZINAZOENDA TABATA KIMANGA OMBA
MSAADA USHUKE CAMP. HAPO ULIZIA ST VINCENT PAUL NDIO HAPO UMEFIKA.
JUMATANO TAR
7/9/2016
SAA TATU ASUBUHI HADI SAA TANO NA NUSU. 9AM TO
11AM
https://www.facebook.com/JAMES-AHADI-OBEDI-236330979855579/?fref=hovercard
No comments:
Post a Comment