GOOD NEWS, GOOD NEWS, GOOD NEWS!
Life after school training
Fursa za kazi kwa vijana waliopo vyuoni na waliomaliza. Life after school
training Ahadiway life
development initiative imeandaa mafunzo na fursa za wanafunzi waliopo vyuoni na
waliomaliza kuwawezesha kupata kazi mara baada ya kumaliza masomo. Ahadiway
imeandaa mafunzo ya ajira na kujiajiri na kujitambua na kukuwezesha kuwamstari
wa mbele katika maendeleo. Ahadiway itahakikisha kila mhitimu na yule aliopo
chuoni kupata mafunzo na nyenzo za kazi atafanikiwa. Njoo upate nafasi ya
kujiandaa na maisha ya sasa na baada ya chuo na jinsi gani unaweza kuyaandaa
bado ukiwa chuoni. Njoo kwenye mafunzo hayo bila kukosa. Hakuna kiingilio.
Yatafanika jumapili ya tar 04/01/2015 kuanzia saa 8 mchana hadi saa 10 tupo
karibu na ofisi za itv wanaporushia matangazo mwenge Dar es salaam. Msikose kufika ukipata
ujumbe huu mjulishe mwenzako. . Wasiliana kwa number zifuatazo 0655490254 au
0789273938 au tembelea http://ahadiway.blogspot.com/
au https://www.facebook.com/pages/Ahadiway/539124546128964
Join the
event on https://www.facebook.com/events/416281661859413/?source=1
No comments:
Post a Comment