UTANGULIZI
AHADIWAY ni shirika lisilo la kiserikali ambalo
makao yake makuu yapo jirani na msikiti wa tenge, tabata Dar es Salaam
lililoanzishwa rasmi Januari 2014 chini ya kifungu cha sheria 12(2) ya 2002
(The Non Government Organisation Act .
DIRA
Kuboresha
maisha ya mtanzania kwa kuwasaidia kupata elimu ya kipato endelevu kuanzia
ngazi ya chini
DHAMIRA
Kuhakikisha maisha bora yanapatikana kwa
wanawake,wazee vijana na watoto kufikia malengo ya muda mfupi na muda mrefu.
MAFUNZO
VIJIJINI
HUDUMA ZITOLEWAZO NA
AHADIWAY
Tunatoa
mikopo kwa wanavikundi
Ahadiway inahudumia vikundi vya kifedha (VICOBA) vyenye
idadi ya wanakikundi wasiopungua 15 na wasiozidi 30, hii ni kutokana na
muundo wa mfumo wa vikoba ili kukidhi taratibu za kimfumo wa VICOBA.
Kikundi kitapewa mafunzo na kuunganisha na furasa mbali mbali.
Kuna manufaa makubwa kujiunga kwenye kikundi cha VICOBA,
pia kuna manufaa makubwa kikundi cha VICOBA kuwa chini ya taasisi msimamizi
itakayo wezesha kikundi cha hicho kufikia malengo yake.
Pale kikundi cha VICOBA kitakapo kosa fedha za
kukopeshana kwa hitaji la wanakikundi wake, AHADIWAY imeungana na
taasisi za fedha zitakazo wakopesha ili kutimiza malengo ya kila mwanachama
kwa masharti nafuu sana bila dhamana ya vitu kama nyumba,gari n.k..
|
PIKIPIKI NA BAJAJ
Tunawawezesha wanakikundi kukopeshwa Pikipiki
aina Yamaha CRUX, bajaji ambazo zinaendeshwa kwa garama nafuu.
Tunatoa elimu ya ujasiriamali, kujitambua, na mafunzo ya fedha
( kuweka
akiba ).
Kubadilisha mtazamo kwa vijana wa Kitanzania
walioko vyuoni kuwa wanaweza kuhitimu chuo wakiwa na uwezo wa kuanzisha miradi
yao ili kuondokana na mawazo ya kuajiriwa na kufikiri kujiajiri.
Kuwatafutia ajira wale wanaohitaji kufanya kazi
nje ya nchi kwa mikataba maalumu.
Kuandaa miradi kitaalamu kwa vikundi na
kuitafutia pesa.

RATIBA ZA MAFUNZO
MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
Jumatatu kuanzia saa tatu mpaka Saa Nane
Mchana 9am-2pm
MAFUNZO YA
VICOBA NA MIKOPO YA VIKUNDI
Juma tano
kuanzia saa tatu mpaka saa nane mchana 9am-2pm
MAFUNZO
NAMAWASILIANO MENGINE TEL
0658323414; 0719832002:
0658 974444;0714363239::
Fursa ya
makazi
Tuna hakikisha wanavikundi wetu wote wanapata fursa za kupata
nyumba za kununua kwa bei nafuu na malipo ya kidogo kidogo kwa muda mrefu ili
waweze kuishi katika nyumba bora.
Tunafundisha
a.
Ujasiriamali
b.
Umuhimu wa kufanya kazi kwa vikundi
c.
Jinsi ya kujikinga na maambukizi ya ukimwi
d.
Tuna elimisha watu kua wakufunzi wa mfumo wa VICOBA ili
kuifikia jamii.
e.
Elimu ya afya ya uzazi kwa vijana.
f.
Stadi za maisha
g.
Ulipaji kodi (TRA)
h.
Kutunza mazingira
i.
Kurasimisha Biashara ili kuepukana na changamoto za kisheria
na mamlaka zinazo simamia biashara (TRA na Manispaa)
j.
Ushawishi na utetezi.
k.
Usimamizi wa rasilimali za umma.
Ahadiway inahudumia vikundi vya kifedha (VICOBA) vyenye
idadi ya wanakikundi wasiopungua 15 na wasiozidi 30, hii ni kutokana na muundo
wa mfumo wa vikoba ili kukidhi taratibu za kimfumo wa VICOBA. Kikundi kitapewa
mafunzo na kuunganisha na furasa mbali mbali.
Kuna manufaa makubwa kujiunga kwenye kikundi cha VICOBA, pia
kuna manufaa makubwa kikundi cha VICOBA kuwa chini ya taasisi msimamizi itakayo
wezesha kikundi cha hicho kufikia malengo yake.
Pale kikundi cha VICOBA kitakapo kosa fedha za kukopeshana
kwa hitaji la wanakikundi wake, AHADIWAY imeungana na
taasisi za fedha zitakazo wakopesha ili kutimiza malengo ya kila mwanachama kwa
masharti nafuu sana bila dhamana ya vitu kama nyumba,gari n.k..
AHADIWAY MAKAO MAKUU
SERIKALI
YA MTAA WA TENGE, KARIBU NA MSIKITI WA TENGE S.L.P 14778 DAR ES SALAAM,TANZANIA.
TEL +255 658 32 3 414: ahadiway@gmail.com