Search This Blog

Tuesday, 30 December 2014

MAISHA BAADA YA KUMALIZA CHUO NA JINSI YA KUPATA KAZI

Life after school. Kila mwanachuo ahudhurie bila kukosa
Fursa za kazi kwa vijana waliopo vyuoni na waliomaliza. Ahadiway life development initiative imeandaa mafunzo na fursa za wanafunzi waliopo vyuoni na walio maliza kuwawezesha kupata kazi mara baada ya kumaliza masomo. Ahadiway imeandaa mafunzo ya ajira na kujiajiri na kujitambua na kukuwezesha kua mstari wa mbele katika maendeleo. Ahadiway itahakikisha kila mhitimu aliye pata mafunzo na nyenzo za kazi atafanikiwa. Njoo upate nafasi ya kujiandaa na maisha baada ya chuo na jinsi gani unaweza kuya andaa bado ukiwa chuoni. Njoo kwenye mafunzo hayo bila kukosa. Hakuna kiingilio. Yatafanika jumatano ya tar 31/12/2014  9am to 12:30pm tupo karibu na ofisi za itv wanaporushia matangazo jengo moja na bmtl mwenge dar es salaam. Msikose kufuka ukipata ujumbe huu mjulishe mwenzako. Wasiliana nasi kwa number zifuatazo 0655490254 au 0789273938

Kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa sita  na nusu mchana 9am to 12:30pm usichelewe ondoka nyumbani mapema ukifika itv studio angalia get jeusi lenye alama za ahadiway