Life after school. Kila
mwanachuo ahudhurie bila kukosa
Fursa za kazi kwa vijana
waliopo vyuoni na waliomaliza. Ahadiway life development initiative imeandaa
mafunzo na fursa za wanafunzi waliopo vyuoni na walio maliza kuwawezesha kupata
kazi mara baada ya kumaliza masomo. Ahadiway imeandaa mafunzo ya ajira na
kujiajiri na kujitambua na kukuwezesha kua mstari wa mbele katika maendeleo.
Ahadiway itahakikisha kila mhitimu aliye pata mafunzo na nyenzo za kazi
atafanikiwa. Njoo upate nafasi ya kujiandaa na maisha baada ya chuo na jinsi
gani unaweza kuya andaa bado ukiwa chuoni. Njoo kwenye mafunzo hayo bila
kukosa. Hakuna kiingilio. Yatafanika jumatano ya tar 31/12/2014 9am to 12:30pm tupo karibu na ofisi za itv
wanaporushia matangazo jengo moja na bmtl mwenge dar es salaam. Msikose kufuka
ukipata ujumbe huu mjulishe mwenzako. Wasiliana nasi kwa number zifuatazo
0655490254 au 0789273938
Kuanzia saa tatu asubuhi
hadi saa sita na nusu mchana 9am to
12:30pm usichelewe ondoka nyumbani mapema ukifika itv studio angalia get jeusi
lenye alama za ahadiway